×

Simba Wafanya Mazoezi Kujiandaa na Mechi Ya Kimataifa Jumapili

BAADA jana kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa katika mchezo wa ligi kuu, Simba leo imeendelea na mazoezi ya kujiandaa na mchezo wao wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Klabu ya Gendarmerie ya Djibouti utakaopigwa keshokutwa Jumapili, Taifa.

Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi ya pamoja leo

Katika mazoezi ya leo, kipa wa Simba aliyekuwa majeruhi, Said Mohammed Nduda amejumuika na wenzake.

Wachezaji wakiendelea na mazoezi leo jioni yaliyofanyika Uwanja wa Boko Veterani
Wachezaji wakiendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka fiti na mechi ya Jumapili
Kiungo Said Ndemla akijaribu kumtoka beki wa timu hiyo, Shomari Kapombe
Wachezaji wakiendelea na mazoezi ya kunyoosha misuli

(PICHA: MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS)