×

Breaking News: Sugu na Emmanuel Masonga Wapata Dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewaachia kwa dhamana Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na kiongozi wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga