KILIMANJARO: Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kifungo cha maisha jela mwanamuziki Christina Biskasevskaja (26) raia wa Lithuania kwa makosa ya kukamatwa na madawa ya kulevya.
Christina alikamatwa Agosti 28, 2012 katika Uwanja wa Ndege KIA akijiandaa kuelekea Brussels Ubeligiji na madawa ya kulevya aina ya Heroin na Hydrochloride yenye uzito wa gramu 3775. 26 na thamani ya Tsh Mil 169,886,700.
Comments are closed.