The House of Favourite Newspapers

Dogo Janja – Wayu Wayu (Official Video)

MSANII wa Bongo Fleva, kutoka lebo ya  Tip Top Connection, Dogo Janja ameachia video mpya ya ngoma yake iitwayo Wayu Wayu.  Video imeongozwa na Director By Nisher huku Audio ikigongwa na Daxo Chali & Marco Chali.

Kutazama ngoma hii kwa urahisi zaidi na video zote mpya za Bongo Fleva na Mamtoni, Install Android: ==> iOS: ==> kisha ingia kwenye MENU ya GLOBAL MUSIC.

Comments are closed.