The House of Favourite Newspapers
gunners X

Picha 8: Hali Ilivyo Mafuriko Jangwani Dar

MVUA kubwa zilizonyesha kuanzia jana jioni hadi usiku zimesababisha adha kubwa ya usafiri kutokana na mafuriko ya maji kujaa katika barabara eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam.

Mafuriko hayo yamesababisha kampuni ya UDART kusitisha huduma hiyo kutokana na mafuriko eneo hilo.

Global TV Online imetua eneo la tukio na kushuhudia adha hiyo.

Tazama picha zamafuriko hayo.

PICHA NA SUNDAY BUSHIRI | GLOBAL TV

Comments are closed.