The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Amwapisha IGP Mangu na Meja Jen. Mumwi, Ikulu (Video)

Rais Magufuli amewaapisha IGP Mstaafu, Ernest Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu Simon Michael Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi.

Tukio hilo limefanyika leo Machi 21, 2018, Ikulu jijini Dar.

Comments are closed.