The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi 30 Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma

Mkurugenzi  wa Halmashauri  ya Manispaa ya Dodoma, kupitia kibali cha Ajira anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Tanzania wenye sifa za kuajiliwa katika Utumishi wa Umma kuleta maombi ya kazi kwa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji kama ifuatavyo

Comments are closed.