The House of Favourite Newspapers

Live: Lipuli FC 1-1 Simba, Kutoka Uwanja Wa Samora, Iringa

MPIRA UMEKWISHA, Lipuli 1-1 Simba.

DK 90 +3 Muamuzi anaongeza dakika tatu kabla ya mchezo kuisha

DK 85 kipa wa Lipuli anaokoa, Simba wanapata kona

DK 79 Mavugo anakosa bao akiwa mwenyewe na goli kipa wa Lipuli

Kikosi cha timu ya Simba.

DK 78 Wachezaji wa Simba wanapasha nje wanajiandaa kuingia Uwanjani, mchezo umesimama

Dk 71  Simba wameamka wanashambulia

Dk  69 Lipuli 1-1 Simba timu zote zinashambuliana kwa kasi

GOOOOOOOOOOOOOOOOOO Mavugo anawapatia bao la kusawazisga Simba

Dk 64 Lipuli wanashambulia kwa kasi lango la timu ya Simba
Dk ya 44 Timu ya Simba wanashambilia kwa kasi sana lakini Okwi anakosa bao la wazi

Comments are closed.