The House of Favourite Newspapers

Mwili wa Masogange Unapelekwa Leaders Kuagwa

Mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ umeshawekwa kwenye gari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, tayari kwa safari ya kuelekea Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa. Masogange alifariki juzi Ijumaa katika Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar es Salaam.

Mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ ukiwa kwenye gari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Wananchi mbali wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Comments are closed.