×

Nafasi za Ajira JKT Kwa Mwaka wa Fedha 2017/ 18

JESHI la Polisi Tanzania limetangaza nafasi za ajira kwa mwaka wa fedha 2017/ 18 kwa vijana waliopo kwenye kambi za JKT/JKU ambao wamemaliza mafunzo ya awali katika Operationi Kikwete na Operesheni Magufuli