
Usikose kutazama ‘documentary’ ya maisha ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) kwa undani akiwa ndiye msanii pekee Bongo aliyewahi kutua kwa helikopta kwenye shoo ya muziki. Simulizi hiyo itaonyeshwa leo Jumatano saa 8 kamili mchana kupitia Global TV Online.
Kama huja-subscribe hakikisha unafanya hivyo kwenye channel ya Global TV Online iliyopo Youtube hapa https://www.youtube.com/user/uwazi1
Kwa wale ambao wamesha-subscribe wahakikishe wanatembelea Global TV Youtube kujionea simulizi hiyo.