×

Zitto Ambana Mwigulu Risasi za Lissu, Azory, Ben Saa Nane – Video

MSIKIE Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Ziito Kabwe, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani, iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana, Mwigulu Nchemba.