×

MOROGORO- JPM Azindua Daraja la Magufuli – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 5, 2018 amezindua Rasmi Darala la Magufuli lililopo Kilombero mkoani humo.