×

Mama Kanumba Afunguka Lulu Kuachiwa – Video

Baada ya Lulu kutolewa Gerezani na kuanza kutumikia kifungo cha nje, Mama Kanumba amefunguka kuwa hafahamu lolote wala hana taarifa zozote kuhusu Lulu kutoka kwake.

Mama Kanumba Afunguka Lulu Kuachiwa