×

Swali la Kwanza Dkt Tulia Tangu Aingie Bungeni – Video

Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson, kwa mara ya kwanza tangu aingie Bungeni ameuliza swali kwa kuhusiana na tamko la serikali juu ya kituo cha Mpuguso na Isongole.