MSIKIE Mbunge wa jimbo la Monduli kwa kupitia tiketi ya Chadema, Julias Kalanga, akichangia hoja katika bajeti ya wizara ya Mifugo na Uvuvi, iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana, Luhaga Mpina na Naibu wake Abdallah Ulega.