×

Video Mpya: Gib Carter -Kata Tu

Msanii wa muziki Bongo, Gib Carter ameachia ngoma mpya ‘Kata Tu’ pia ndio msanii anaefananishwa na wizkid kutoka bongo kimuonekano na aina ya muziki wake.