×

JPM Awateua Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere NEC

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amewateua Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee Mizengo Kayanza Peter Pinda na Makongoro Nyerere kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC).