Staa wa ngoma ya ‘Ninogeshe’, Nandy amezungumza na Global TV na kuelezea mambo mapya kabisa kuhusiana na Clip yake iliyosambaa mitandaoni inayomuonyesha akiwa chumbani na aliyewahi kuwa mpenzi wake ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Billnass.