×

SILINDE: Trilioni 1.1 Lazima Zirudi, Hatukubali – Video

Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde, akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana, Dkt Medard Kalemani.