×

Kutinyu Atambulishwa Rasmi Azam FC

Kiungo mpya wa Azam, Tafadzwa Kutinyu,  aliyekuwa klabu ya Singida United, akisaini mkataba wa kuitumikia timu hiyo mbele ya Meneja wa Azam, Philip Alando.
…Akikabidhiwa jezi.
Ni furaha tupu…
Alando akiwa na kocha mpya wa timu hiyo, Hans Pluijm (kushoto) na Kutinyu.

KLABU ya Azam FC leo (Jumapili) imemtambulisha kiungo, Tafadwza Kutinyu, raia wa Zimbabwe, kuwa miongoni mwa wachezaji watakaoichezea timu hiyo baada ya kusaini mkataba akitokea Singida United.

Singida Yamuuza Rasmi Kutinyu mil. 45 Azam FC

https://globalpublishers.co.tz/singida-yamuuza-rasmi-kutinyu-mil-45-azam-fc