Kufuatia kifo cha msanii, Sam wa Ukweli, kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalodaiwa kuwa ni Ukimwi wa Kurogwa, mjomba wa marehemu amezungumza na Global TV na kuelezea msimamo wa familia na taratibu zote za mazishi hayo.