MWANAMUZIKI Wizkid wa Nigeria juzi alikutana na mastaa Naomi Campbell mwanamitindo wa Uingereza, na rapa Tinie Tempah wa Uingereza kwenye ‘Shoo ya Siri’ ya mavazi iliyotayarishwa na mtaalam wa mitindo,Domenico Dolce, wa kampuni ya Dolce & Gabbana huko Milan nchini Italia.
Wizkid (kushoto) akiwa na Naomi Campbell na Tinie Tempah.

Wkiwa katika pozi jingine.

Wakiwa na Domenico Dolce (kushoto) mmiliki wa kampuni la Dolce & Gabbana.