×

Picha za ‘Red Carpet’ Katika BET Awards 2018

Blac Chyna

UTOAJI  wa tuzo za 2018 BET Awards  umefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa  Microsoft Theater jijini Los Angeles, Marekani.

Mwenyeji wa hafla hiyo  ambayo hutoa heshima kwa mafanikio yaliyopatikana katika nyanja za burudani, michezo, muziki, filamu na utangazaji wa televisheni, alikuwa  Jamie Foxx.

Miongoni mwa  wasanii na watu mashuhuri waliohudhuria ni pamoja na: Ashanti, Yvonne Orji, Lil Mama, Bryshere Gray, Chloe X Halle, Keith Powers, Ryan Destiny, Serayah, Skai Jackson, Storm Reid, Trevor Jackson, DJ Khaled, Tyra Banks, Janelle Monae, Blac Chyna, Amber Rose, Nicki Minaj, Michael B. Jordan, Omari Hardwick, Tika Sumpter, Tyga.

Mastaa wa Afrika waliokuwepo ni pamoja na: Davido, Niniola, DJ Ecool, Cassper Nyovest.

Baadhi ya picha za ‘red carpet’ walizopiga watu hao ni:

Niniola

Folu Storms

Asa Asika

DJ ECool

Ladies First 

Yvonne Orji

Amber Rose

Ashanti

Janelle Monae

Ajak Deng

Sevyn Streeter

Serayah McNeill

Criselda Dudumashe

Garcelle Beauvais

Tyra Banks

K. Michelle