Prince William akiwa Jordan jana alikopokelewa na viongozi mbalimbali wa kiserikali na kifalme.
MAKAO makuu ya kifalme ya Uingereza yamesema mwanamfalme Prince William antarajiwa kufanya ziara ya kwanza katika nchi za Israel na Palestina.
Ziara hiyo ataifanya kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo na familia za kifalme.
