×

ALIYEMUOKOA MTOTO GHOROFANI ATUNUKIWA TUZO BET

     

Mamoudou Gassama.

RAIA wa Mali, Mamoudou Gassama, aliyepanda hadi ghorofa ya nne ya jengo moja kwa kupitia nje na kumwokoa mtoto aliyekuwa ananing’inia pia kwa nje nchini Ufaransa,  ametunukiwa tuzo ya heshima ya  “Humanitarian Honoree” kwenye tuzo za Black Entertainment Televisheni (BET) zilizofanyika usiku wa kuamkia leo .

Kwa mara ya kwanza BET imetoa tuzo sita za heshima kwa watu tofauti ambapo baadhi yao ni:

Mwanafunzi Justin Blackman wa North Carolina.

 

Mwanafunzi Anthony Borges wa Parkland.

Washindi sita wa tuzo za heshima.

Mwanafunzi Naomi Wadler,  wa Alexandria, Virginia.