×

NAPE KALIPUKA: Mnataka Kutuua, Hatutakubali, Hii ni Dharau – Video

Mbunge wa Jimbo la Mtama(CCM), Nape Nnauye, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango.