The House of Favourite Newspapers

Kamanda Muroto: Siyo Tu Kwa Kipigo cha Mbwa Koko Bali…..! – Video

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP Gires Muroto amesema kauli yake ya Watapata Tabu Sana na Kipigo cha Mbwa Koko, siyo tu kwamba zilizua tishio la maandamo, bali wakazi wa mkoa huo ni watulivu sana ndiyo maana hawakuona haja ya kuandamana.

 

Muroto ameyaswema hayo jana Ijumaa, Juni 29, 2018 wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Polisi Kinachotembea, katika eneo la Kisasa jijini humo ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

 

Aidha, Muroto alisema kuwa, wananchi hao ni wazalendo, watiifu, wanaipenda amani ya nchi yao, wanatekeleza hayo kwa kuangalia usalama wa nchi na si kwa maslahi ya watu binafsi, ndiyo maana hawakuandama.

MSIKIE MUROTO AKIFUNGUKA

Comments are closed.