Simanzi na Vilio Vimetawala nyumbani kwa muigizaji Muna Love maeneo ya Mbezi ambapo ndipo alipofikia baada ya kutua Airport leo akitokea nchini Kenya.
Hali ya Muna baada ya kuwasili nyumbani hapo imeonekana kuwa mbaya kwani ameishiwa nguvu kiasi cha kusababisha abebwe huku akilia kwa uchungu.
“MUNGU AILAZE ROHO YA PATRICK MAHALI PEMA PEPONI”