×

Mwili wa Patrick Ukiwasili Nyumbani Kwao – Video

Mwili wa Mtoto Patrick umefikishwa nyumbani kwa Baba yake Maeneo ya Mwananyamala kwa ajili ya majirani, Ndugu, jamaa na marafiki kutoa heshima za mwisho na kisha mwili huo utapelekw katika uwanja wa Leaders Club kwa ajili ya kuagwa tena na baadaye utapumzishwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

SHUHHUDIA TUKIO HILO