×
Global Publishers
  • Home
  • Habari
    • Kimataifa
    • Kitaifa
  • Global TV
  • Magazeti
  • Ajira
  • Burudani
    • Audio Music
    • Music Videos
    • Dar Live
  • Michezo
  • Makala
    • Afya
    • Mahaba & Maisha
    • Burudani
    • Hadithi
    • Mikasa
    • Siasa
  1. Home
  2. Habari
  3. Video: Hatimaye Boeing 787-8 Dreamliner Yatua Nchini

Video: Hatimaye Boeing 787-8 Dreamliner Yatua Nchini

Global Publishers July 8, 2018 4,606 views
SHARE THIS:

 

RAIS Dkt. John Magufuli leo Jumapili Julai 08, 2018 amewaongoza Watanzania kuipokea ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na serikali ya Tanzania.

Baadhi ya viongozi nchini wakiwa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kuipokea DreamLiner iliyotua jioni hii.

Viongozi wengine waliofika uwanjani hapo ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mawaziri, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na viongozi wengine mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa na viongozi wa Dini.

SHARE THIS:
Previous Next

Related Posts

Majeshi ya Polisi Tanzania na Rwanda Waungana Kupambana na Wahalifu - Global Publishers HABARI

Majeshi ya Polisi Tanzania na Rwanda Waungana Kupambana na Wahalifu

December 4, 2017
Rais Samia Afanya Uteuzi TCU - Global Publishers HABARI

Rais Samia Afanya Uteuzi TCU

October 21, 2021
Kombe la Dunia la Hockey ya Wanawake Latikisa Uholanzi, Vita Vyaendelea - Global Publishers HABARI

Kombe la Dunia la Hockey ya Wanawake Latikisa Uholanzi, Vita Vyaendelea

August 20, 2026
Mradi wa Akili Bandia Wazinduliwa Tanzania - Global Publishers HABARI

Mradi wa Akili Bandia Wazinduliwa Tanzania

January 25, 2022
DAKTARI

GLOBAL TV Online




SIMBA
YANGA
NEWS
Global Publishers
  • About Us
Download on the App Store
Get it on Google Play

© 2026 Global Publishers. All Rights Reserved.

Designed by Yatosha Web Services