The House of Favourite Newspapers

WANANCHI WAVUTIWA NA HUDUMA ZA BENKI YA NMB MAONESHO YA SABASABA

Mteja wa Benki ya NMB akipata huduma katika Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Wateja waliotembelea Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam wakipata huduma anuai za kibenki.
Mmoja wa maofisa wa Benki ya NMB (kulia) akimfafanulia jambo mteja aliyetembelea Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa maofisa wa Benki ya NMB (kushoto) akimfafanulia jambo mteja aliyetembelea Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mwonekano wa Banda la NMB kwenye Maonesho ya 42  Biashara ya Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Kikosi kazi cha Benki ya NMB kinachotoa huduma ndani ya Banda la NMB kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam katika pozi.

Comments are closed.