The House of Favourite Newspapers

Official Video: Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari – Baila

MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameachia Video ya ngoma yake iitwayo, Baila ambayo amemshirikisha Mshindi wa Tuzo za Grammy, Miri Ben -Ari.

 

Baila ni Video hiyo imo kwenye albamu yake ya “A boy From Tandale” aliyoiachia Machi 16, 2018. Kwenye orodha ya nyimbo zilizomo ndani ya albamu hiyo, Baila ipo namba 8.

 

Miri Ben-Ari ni msanii na producer Mmarekani ambaye asili yake ni nchni Israel, a,ewahi kushirikiana kufanya kazi na wasanii kama Kanye West, Jay Z, Alicia Keys, Jane Jackson, Tarkan na Armin Van Buuren.

ENJOY DUDE HILO HAPA

Comments are closed.