RAIS wa Marekani Donald Trump na mkewe Melania Trump jana walikutana na Malkia wa Uingereza kwenye makazi ya Windsor ambako anafanya ziara nchini humo.