Mwananmuziki R. Kelly ametoa wimbo wa dakika 19 unaokwenda kwa jina la “I Admit”. Katika wimbo huo, R. Kelly amekanusha tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia zilizoelekezwa kwake, lakini amekubali baadhi ya makosa mengine aliyowahi kuyafanya.
Kusikiliza mashairi ya wimbo huo, ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini: