The House of Favourite Newspapers
gunners X

LIVE: Mchungaji Masanja Akifanya Maombi Msiba wa Mama wa Shigongo

MCHUNGAJI Emmanuel Mgaya maarufu kwa jina la Masanja Mkandandamizaji amewasili msibani kwa mama wa Eric Shigongo na kupata fursa ya kuhubiri neno la Mungu kwa wafiwa na waombolezaji wengine.

FUATILIA MAHUBIRI HAYO HAPA

Comments are closed.