BREAKING NEWS: LUGUMI AKUTANA NA WAZIRI KANGI LUGOLA
Global Publishers July 31, 2018
SHARE THIS:
Mfanyabiashara Saidi Lugumi (kulia) akiongozwa na ofisa wa polisi leo kuelekea ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam kwenda kuonana na waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola, baada ya kutoka Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai.…Akiondoka Wizara ya Mambo ya Ndani, baada ya mazungumzo na Lugola.
Mfanyabiashara Saidi Lugumi leo amekutana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.