×

JOKATE: “Naapa Nitakuwa Muaminifu, Sitatoa Siri Kwa Vyovyote Vile” -Video

Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ameapishwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo katika hafla fupi iliyofanyika wilayani humo.