×

LIVE: Mwili wa Mzee Majuto Wapelekwa Makaburini

Mwili wa Msanii nguli wa vichekesho nchini, Mzee Majuto umetolewa msikitini na kupelekwa katika makaburi ambako atazikwa baadaye leo jijini Tanga.