The House of Favourite Newspapers

Kauli ya Mambosasa Baada ya Polisi Kumshambulia Mwanahabari, Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limelaani vikali kushambuliwa kwa Mwandishi wa Habari za Michezo, Sillas Mbise aliyeshambuliwa na Askari wa Jeshi hilo juzi Agosti 8, 2018 wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Asante Kotoko ya Ghana, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.