The House of Favourite Newspapers
gunners X

HARAMBEE YACHANGIA UJENZI KITUO CHA HIJA TABORA

Katibu  Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Queen Mlozi (kushoto) akiendesha harambee hiyo ya ujenzi wa kituo hicho.

Katibu  Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Queen Mlozi, amefanikisha kuendesha harambee ya ujenzi wa Kituo cha Hija cha Mt. Paul wa Pili na  Mama Theresa wa Calcuta huko Ifucha mkoani Tabora ambacha kikikamilika kitagharimu zaidi ya Sh. milioni 40.

…Akiambatana na viongozi wa kanisa wakati wa harambee hiyo.

Katika hafla hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wikiendi iliyopita, Mlozi aliwashuhukuru wote waliojitolea kuchangia ujenzi huo.

Comments are closed.