×

Akil The Brain Aibuka Upya na ‘Mashallah’

Mwanamuziki pekee wa Bongo Fleva mwenye asili ya Kiasia, Akil the Brain,  ameibuka upya na wimbo wa ‘Mashallah’ baada ya kuwa kimya kwa miaka kadhaa.

Msanii huyo anasema huu ndiyo mwanzo wa kurudi kileleni na tayari ana ngoma zingine nne ambazo zitazoka hivi karibuni pamoja na video.

Kusikiliza wimbo wake mpya wa ‘Mashallah’ pakua =>>>> DOWNLOAD HAPA