
- Mwigizaji Jimmy Mafufu akiwa na mkewe Upendo Meja baada ya kufika kwenye Ukumbi wa Alfa.

- .Wakikata keki.

- Mafufu akimpiga busu mkewe.

- …Akiwashukuru ndugu, jamaa na marafiki waliomsaidia kufanikisha sherehe hiyo.

- Zamaradi Mketema (kushoto) ambaye ni meneja wa Mafufu, akiwa na waigizaji wenziye.

- Waigizaji wa Bongo Muvi wakimkabidhi Mafufu zawadi.

- Jacqueline Wolper akizungumza jambo.

- Wolper akimtunza Mafufu.
Jana ilikuwa ni funika bovu kwenye sherehe ya ndoa ya muigizaji Jimmy Mafufu iliyofanyika ukumbi wa Alfa, Morocco jijini Dar, ambapo mastaa mbalimbali walimsapoti muigizaji mwenzao ambaye alikuwa anajitwalia jiko na kuacha historia baada ya wasanii wengi kummwagia manoti msanii huyo na wengine kumwahidi zawadi mbalimbali.
Mastaa waliofanikiwa kufika kwenye sherehe hiyo waliogozwa na Jacqueline Wolper, Steve Nyerere, Zamaradi Mketema na kaka yake Said Bwela, Weru Sengu, Odama, Yusuph Mlela, Baga, QBoy Msafi, Tausi, Asha Boko na wengine wengi.
PICHA/HABARI: BONIFACE NGUMIJE -GPL
WOLPER Alivyowavunja Watu Mbavu / Nimeokoka Jamani….