Msanii wa muziki wa kizazi kipya na anayetoka katika kundi la Weusi, Nikki wa Pili ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kama ‘Kanifuata’ akimshirikisha msanii mwingine wa Bongo Fleva Juma “Jux”