MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ amefanya shoo ya aina yake kwenye usiku wa kumtafuta Miss Tanzania 2018 iliyofanyika Ukumbi mpya wa Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar usiku wa kuamkia leo.