The House of Favourite Newspapers

Mhariri Gazeti la Championi, John Joseph, Afunga Ndoa

Mhariri wa gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph,  (wa pili kulia) akifunga ndoa na Happiness Kayanza katika Kanisa la Katoliki la Kibaha Parokia ya Tumbi, Kibaha Maili-Moja, Mkoa wa Pwani jana.
…Akisaini cheti cha ndoa.
Mkewe, Happiness, akisaini cheti cha ndoa.
Baada ya ndoa.
Wakiposi mbele ya kamera.

MHARIRI wa gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph,  jana amefunga ndoa na Happiness Kayanza katika Kanisa la Katoliki la Kibaha Parokia ya Tumbi, Kibaha Maili-Moja, Mkoa wa Pwani.

Comments are closed.