Katika Hali isiyo ya kawaida, Muigizaji maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, anadaiwa kumshtaki mama yake mzazi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.