GARI la Mbunge wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Anna Gidarya, linasemekana limeshambuliwa kwa risasi na kutoboa matairi yake katika Kata ya Majengo jijini Arusha.
Waliofanya shambulio hilo hawajatambulika.