The House of Favourite Newspapers

LIVE WEIGH IN! Anthony Joshua vs Alexander Povetkin 🥊

KESHO ni kesho ambapo pambano la Mwingereza Anthony Joshua na Alexander Povetkin linatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Wembley huku likishuhudiwa moja kwa moja kwenye App ya Kwese Iflix pekee kwa kununua VIP pass itakayogharimu Sh 1,300.

Mashabiki wengi barani Afrika watashuhudia kupitia App ya Kwese Iflix na hii ni baada ya Kwese kufanikiwa kuonyesha mechi zote za Kombe la Dunia ambazo zilifanyika mwaka huu na kufuatiliwa na mamilioni ya mashabiki.

oshua anayeshikilia mataji matatu kati ya manne makuu ulimwenguni katika uzito wa juu (IBF, WBA na WBO), atakabiliana na bingwa mwenzake, Povetkin raia wa Urusi, kesho Jumamosi.

 

Comments are closed.