The House of Favourite Newspapers

MV NYERERE: MANUSURA Aliyeiona Ajali Kabla Haijatokea Asimulia – VIDEO

 

Ni ngumu sana kuamini kama mtu anaweza kunusurika katika ajali ya MV Nyerere iliyotokea huko Kisiwani Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza ambapo mpaka sasa idadi ya waliopoteza maisha imefikia 196.

Global TV imezungumza na mmoja kati ya walionusurika, Benard Buseja, na ameelezea tukio zima lilivyotokea na kilichosababisha ajali hiyo.

 

VIDEO: MSIKIE AKIFUNGUKA

Comments are closed.